Latest job updates

Tuesday, July 23, 2019

ONLINE MONEY EARNING | NJI KUU TATU ZA KUINGIZA PESA NDEFU MTANDAONI

July 23, 2019
BEFOWRD SUPPORTER 

Hii ni namna inayokuwezesha wewe kupokea asilimia 12% hadi 15% kwa kila mauzo. Ukijiunga na befoward supporter utapewa code number itakayojulikana kama promo code, ambayo mteja atakaye nunua gari au bidhaa yoyote kwa kutumia promo code yako then utapokea asilia hizo papo hapo. 
mfano gari linauzwa Tsh 5,000,000 ,then wewe utapokea Tsh 600,000 hadi Tsh750,000

JIUNGE NA BF SUPPOTERS HAPA
Hii huusisha sana wafanya biashara wa magari, madalali na wengineo
Ni rahisi sana kujiunga. bonyeza hapa ujiunge na program hii, pia malipo yako ni uhakika pale tu pesa itakapokuwa imeingia.

LINK SHORTNER

Hii ni huduma ambayo inahusisha matangazo kwa mfumo wa link fupi yaani short links. Pale tu utakapo jiunga na mfumo wa utangazaji wao, utahitajika kufupisha link ili iweze kua fupi kisha kuitangaza au kuisambaza yaani kushare. Kazi ya kufupisha link sio yakwako wewe, bali ni ya mtandao wenyewe. Kazi yako ni kuisambaza/kushare kwa marafiki zako kupitia whatsapp ama facebook
Mtandao unao aminika katika hili unaitwa adsfly.

Ambayo pia unaweza ku download app yake kutoka google ama app store
JIUNGE HAPA

REFERRAL PROGRAMME 

Na hii ni programme amabayo ni common kwa watu wengi jaswa wale wana mitandao. kUNA MITATANDAO inayo fanya kazi kama online advertising networks ndizo zinazotoa huduma hizo za referral programmes. Pale t unapojiunga utahitajika kushare link kwa ndugu jamaa na marafiki ili na wao waweze kujiunga kupitia hio link. Mara baada ya hapo utapokea dolla za kimarekani kuanzia 0.5 hadi 5USD pia utaweza kupokea asilimia 5 yaani 5% ya malipo ya huyo mtu aliejiunga kupitia link yako
Baadhi ya mitandao inayotoa huduma hii ni

0 Comments:

Post a Comment