Latest job updates

Monday, July 29, 2019

3 Sonographers II at Ministry of Health – SMZ – Job Ref: 86




Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo: – Sonographer Daraja la II “Nafasi 3” Unguja .
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Sonography” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
How to Apply
  Jinsi ya Kuomba:
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo: –
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 – ZANZIBAR.
Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo: –
• Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
• Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
• Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
• Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
• N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake hayatazingatiwa.
• Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 31 Julai, 2019 wakati wa saa za kazi.


0 Comments:

Post a Comment